Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Samsung Galaxy S8 (64 gb) Full Original Accessories

Color Black
Memory 64 gb
Ram 4 gb

Price 590,000/-
Condition Clean Yaani n'gari n'gari

Contacts 0652332255.

Tusaidiane Jamani watu twadaiwa Madira na Mabuibui ya Sikukuu huku.
IMG-20190526-WA0000.jpeg
IMG-20190526-WA0001.jpeg
IMG-20190526-WA0004.jpeg
 
Naiyo nyeusi ndo Nokia ngapi mkuu
Simu ya 2016 apate leo Actual Brand new sealed ?
Atapigiwa sealed za Kariakoo tuu mzee
kwa rugha nyingne ni kwamba kwa sasa huwez pata bland new sio? Nimejarb kumwelewesha ila kakariri na hasa ukizingatia alishawah kupigwa second hand, hela yake hata hio s8 yako hapo juu angebeba
 
kwa rugha nyingne ni kwamba kwa sasa huwez pata bland new sio? Nimejarb kumwelewesha ila kakariri na hasa ukizingatia alishawah kupigwa second hand, hela yake hata hio s8 yako hapo juu angebeba
Exactly,
Zaidi awekewe Refurbished
 
Natafuta Samsung s7 budget ni 200k. 0712220207 that's my number.
 
Nataka nibadilishe simu nina infinix NOTE 4 natak samsung A10 kam upo tyr nichek PM nikupe hii nikuongezee na hela..nimeitumia miez 4 toka dukan
 
IPhone 6 plus 16gb
Full box
Gold na silver
Bei Tshs 600,000.

Contact 0625547767 au PM.

Duka lipo Aggrey street Kariakoo.
IMG_20190527_145217.jpeg
 
Samsung S6 plus inauzwa Storage 32Gb ina crack kidgo Bei 360000/= nichek 0687742926 au Whatsap 0714314361
20190527_174000.jpeg
20190527_173952.jpeg
20190527_173946.jpeg
20190527_174015.jpeg
 
Back
Top Bottom