Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann pm jamani kwanini mambo yasiwe hadharani???kuna nini huko pm?Nicheki pm
Kitu ukikichoka si unakiuza na wengine unakuta wana matatizo yao wanataka kusolvemagari used hadi simu dah
nakigawa kwa asie na ndoto ya kukipata hususani ndugu ,maana kikweli zinakuwaga na tatizoKitu ukikichoka si unakiuza na wengine unakuta wana matatizo yao wanataka kusolve
Njoo utapata.
Ring us for a further inquiry
Njo uchukue camon x 120Bajeti ya laki 1 naweza kupata simu gani ya fasta?
Weka pichasony experia x 64gb-3gb.
fingerprint,face lock.
iko na hali nzuri tu,210k
Haina tatizo bosIna tatizo gani?
Achana na tecno wwNahitaji tecno camon x c7.mwenye nayo aje pm chap
Huawei aina gani?Achana na tecno ww
Njoo uchukue Huawei full box bei chee
Pro auNina TECHNO SPARK 3 bei ni 260000 ni mpya kabisa 0717309821
AINA GANI NA BEI GANIAchana na tecno ww
Njoo uchukue Huawei full box bei chee
Mpya au used?redmi note 5 pro 64 gb napata kwa sh ngap?
Mkuu pesa iko hapa.uko wapNjo uchukue camon x mpyaa 130
Njo uchukue camon x 120
Kuna nokia 3.1 na 3.1 plus full boxed.....nazitoa kwa pamoja
0744474683
Note:ziko sealedView attachment 1127139View attachment 1127140View attachment 1127141