mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Boss umeambiwa ni ushauri,ili kulinda biashara yako zaidi.Watu wa Jamii forums ni wajuaji sana kuna Mteja kaja dukani anataka samsung s7edge kaletewa simu mbili sealed kafungua zote mwisho wa siku anasema simu sio OG kisa hazimatch na TCRA kaondoka bila kufanya chochote. Nilielewa jamaa hakuwa na pesa akaleta ujuaji mwingi akipita hapa ataona, na wewe punguza ujuaji unless unafanya biashara unaagiza mzigo unajua faida.
Unanyanyua visigino hapa mpaka china,unakwenda kukusanya iphone six uje uuze laki 5 au 4,simu ambayo imesitishiwa update.au nanyinyi wauzaji mna kaushamba ka asili????.
Mmeshauriwa humu leteni samsung za bei chee,xiaomi,oppo nk mmekomaa na matecno na infinix,hatuwezi tegemea mtutendee miujiza katika iphone.
Kuhusu mteja kukata ribit huo ni uzembe wako,unafunguaje simu mteja hajatoa hela??kiutaratibu kunakuwa na simu ya kukagua kwenye meza,anakagua akiridhika anahesabu pesa inafuatwa store kwenye box anapewa anasepa.