Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oyaa mkuu ushapata? Nna Tecno C8 hapa iko poa kabisa ila ongezea kidogo iwe 90,000/=
We jamaa simu yako ya wizi nini? Mbona unaruka ruka sana? Nipe namba yako.Oyaa mkuu ushapata? Nna Tecno C8 hapa iko poa kabisa ila ongezea kidogo iwe 90,000/=
Wee buti kiatu nani jamaa sasa?unikome sina vitu Vya wizi ,simu ndyo hii natumia.We jamaa simu yako ya wizi nini? Mbona unaruka ruka sana? Nipe namba yako.
Nahitaji tecno C8. Mwenye nayo anicheki Pm.
Wee buti kiatu nani jamaa sasa?unikome sina vitu Vya wizi ,simu ndyo hii natumia.
Nenda pm kuna namba yangu. Kama unauza nicheki manake umegoma kunitumia yako.Wee buti kiatu nani jamaa sasa?unikome sina vitu Vya wizi ,simu ndyo hii natumia.
Vipi umeshauza?samsung A9 2016
ram 3gb
internal 32gb
bei 270000
0714018677
ukifika 200k nipmsamsung A9 2016
ram 3gb
internal 32gb
bei 270000
0714018677
Njoo kwenye uzi wangu.JAMANI WANANDUGU JF MWENYE SIMU KAMPUNI YA XIAOMI REDMI TOLEO LOLOTE ANICHEKI PM AU WHATSAP 0763444962
Location MwanzaView attachment 1257997
Nasubir simu yako kuhusu HuaweiTecno F2 imetumika miezi 2 tu 70k
Mkuu taja bajet yakoNatafuta iPhone iliyopo ktk hali mzuri s6 pls 62 gb itapewa kipao mbele