Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

IMG_0449.jpg

KIDS TABLET
128GB
4G Network
Available
280,000 Tsh only
[emoji338]0714036595
 
Nauza Samsung galaxy A53 5G mpya kabsa fullbox mimi nilinunua 780k dar ila nimepata dharura hapa ya ghafla naomba mwenye 650k nimuachie simu hii ina GB 128 Ram 8 niko mwanza nyegezi
images%20(2).jpg
 
AVAILABLE BRAND NEW [emoji91]

OnePlus 10 Pro [emoji336]
•256GB | 12GB [emoji3541]
•Dual Sim
•Brand New [emoji91]
•Black Color [emoji835]️

Tsh 1,650,000/=

Call / Text +255 714 981607 [emoji3513]

12 Months Limited Warranty [emoji736]

#0714981607 #oneplus10pro #maligenuine[emoji28] #malisafi
IMG_7615.jpg

F1B7D274-4E2A-42D8-BDAE-63F212EFB4EE.jpg
 
Google Pixel 4a On Sale 6/128 GB
Money Urgently Needed
For Inquiry: 0676721372 [emoji3513] Whatsapp & Normal Calls.[emoji625]Dar es Salaam

[Pre-owned]
IMG-20221224-WA0069.jpg
IMG-20221224-WA0070.jpg
 
MERRY CHRISTMAS[emoji319][emoji320]

Nameless Enterprises tunakutakia wewe na familia yako heri ya sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya.

Tunayo offer ya Punguzo la Hadi asilimia 15 kwa ajili yako kwa kila Simu Utakayonunua pamoja na accessories zake.

Tunapatikana Kariakoo Mtaa Wa Aggrey & Likoma.[emoji625]
0676721372 [emoji3513]

KARIBUNI SANA.View attachment 2458519
Screenshot_20221217_143754.jpg
Screenshot_20221221-214535_1.jpg
Screenshot_20221223-213758_1.jpg
Screenshot_20221223-214402_1.jpg
Screenshot_20221221-215302_1.jpg

View attachment 2458535
 
KITONGA PRO MAX

Oppo A57
Ram 4Gb
Storage Gb64
Bei 120,000/=
Warranty miezi 12🫡
[emoji338]0628139218
[emoji625]Dar es salaamView attachment 2451878
Kuna mtu alinunua pale k,koo 150k hiyo Oppo,
Alichokutana nacho, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hataki hata kusikia cm za promotion from dubengaa. Uwiiiih

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapokuja kariakoo kununua ivi vitu vya electronics weka ujuaji pembeni njoo na mwenyeji. Otherwise utaishiwa kupigwa za uso tu
 
Unapokuja kariakoo kununua ivi vitu vya electronics weka ujuaji pembeni njoo na mwenyeji. Otherwise utaishiwa kupigwa za uso tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu ni mdada mwalimu wa sec, mie nlimuambia wee kuwa makini mjini hapaa, yeye akasema ameona matangazo insta, na kawasiliana na wahusika wamemuhakikishia, kheeeh c nkampelekaa bhanaa, tukafka palee akalipa akachukua sema mie sikua na hakika km ile cm n nzuri na nlijua sio OG lazima n refurb,

Bhana wee kufika Home, kuichaji masaa 8, kuja kuiweka line haisomi, settings ya lugha n kiarabu,kumfuata ostadh ndo akatoa kiarabu kuweka english, yaan cm ipo km kopooo tyuuh.

Line hazisomi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kifupi alikua anatumia km torch tyuuh. Hataki hata kusikia hizo promotion za cm.

Haha nimecheka kiboya[emoji28][emoji28]

Mwambie aje nimsaidie kurudisha iyo simu wampe nyingine kama bado anakumbuka alipoichukua au kama namba zao za simu anazo.

Kariakoo watu wapo kimkakati zaidi ukizingatia wabongo tunapenda vitu cheap so ni fursa kwa wengine.
 
nauza SAMSUNG A11
uwezo; ram 2Gb, internal storage 32
bei; 170k
location; dar es salaam-mabibo NIT
mawasiliano; 0752641318
mali halali haina shida yoyote
IMG-20221231-WA0005.jpg
IMG-20221231-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom