Breadboard
Member
- Jun 28, 2023
- 72
- 136
ChargerUnahitaji charge au charger?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ChargerUnahitaji charge au charger?
Nataka Note 12 ya 128 + 4 nikija na Sony X peria 8 pamoja na cha juu ,maana niliagiza hizi used mpya haijatimia hata mwezi naona ina nipa tabu coz ni line moja kila mara kutoa line sasa nataka hiyo ya line mbili.Zipo boss.
MKEKA HUU HAPA NA BEI ZAKE
REDMI 12C 64+3 (270k)
REDMI 12C 128+4 (330k)
REDMI NOTE 12 128+4 (400k)
REDMI NOTE 12 128+8 (490k)
REDMI NOTE 12S 256+8 (550k)
REDMI NOTE 12PRO 256+8 (650k)
REDMI NOTE 12 PRO+ 5G 256+8 (850k)
Mcheki mtaalamu Reuben Challe ..Wajuzi wa simu nauliza simu gani nzuri kati ya Samsung s23 ultra au Samsung z4 foldable.
Na kwa nini ipi ni nzuri kuliko nyingine?
Nataka Note 12 ya 128 + 4 nikija na Sony X peria 8 pamoja na cha juu ,maana niliagiza hizi used mpya haijatimia hata mwezi naona ina nipa tabu coz ni line moja kila mara kutoa line sasa nataka hiyo ya line mbili.
SawaWhatsapp/Normal Text Boss tujadiliane
0621060115
Samsung Galaxy S23 Ultra ndio simu bora zaidi mkuu. Hiyo Z Fold 4 nunua kama tu unataka simu inayokunjika (foldable phone)Wajuzi wa simu nauliza simu gani nzuri kati ya Samsung s23 ultra au Samsung z4 foldable.
Na kwa nini ipi ni nzuri kuliko nyingine?
IPHONE 11 PRO(Pre-owned) [emoji92]
RAM: 4gb , ROM: 64gb
Face ID & True tone: [emoji3581]
Battery health: 82
Warranty: 12 months
[emoji383][emoji383] Tsh.930,000
[emoji3513]: 0687-600847
Exchange: [emoji3581]
View attachment 2681908
View attachment 2681910
Ni kweli lakini ukikaa na hii mentality ya kwamba kitu cha bei kubwa ndo bora,jipange kuibiwa sana.S series ndo bora na hiyo inaonekana hata kwenye bei tu...
Vifaa vya S series ni gharama zaidi kuliko A series
Wazee kuna mtu Ana 100k anatak simu yakusogezea siku ,
Nataka pixel 6, nikikupa tecno pop 5 natakiwa kuongeza Tsh ngapView attachment 2693168
MKEKA HUU HAPA KWA GOOGLE PIXEL CLEAN CHAGUA MWENYEWE
Pixel 3a 64GB. 240000/=
Pixeal 3axl. 280000/=
Pixel. 3xl 64GB. 310000/=
Pixel 3xl 128GB 350,000/=
Pixel 4a. 128gb 320000/=
Pixel 4a5g 128GB 390000/=
Pixel 4 64GB 360000/=
Pizel 4. 128GB. 370000/=
Pixel 4xl 64GB 400000/=
Pixel 4xl 128GB 460000/=
Pixel 6a. 630000/=
Pixel 6 128GB 650000/=
Pixel 6pro128GB 850000/=
TOP UP AND EXCHANGE ALLOWED
MAWASILIANO CALL/WHATSAPP: 0621060115
KARIAKOO DAR ES SALAAM