Nadhani wewe ndio hujui hata huu uzi unasemaje, hebu soma vizuri title inavyosema.Sasa mbona tutakuwa tunawachanganya watuu
Kwanini usianzishe uzi wakoo
Vipi haufahamu namna ya kuanzisha uzi tukuelekeze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani wewe ndio hujui hata huu uzi unasemaje, hebu soma vizuri title inavyosema.Sasa mbona tutakuwa tunawachanganya watuu
Kwanini usianzishe uzi wakoo
Vipi haufahamu namna ya kuanzisha uzi tukuelekeze
Nadhan nimechanganya....nilikuwa namreply mtu alileta biashara yake kwenye uzi wanguNadhani wewe ndio hujui hata huu uzi unasemaje, hebu soma vizuri title inavyosema.
Hujaweka bei za laptop na sifa zakeTecno Spark 4 Air (Pre-owned)
RAM: 2gb , ROM: 32gb
Fingerprint: [emoji736]
[emoji383][emoji383] Tsh.180,000
[emoji3513]: +255 687 600 847
View attachment 2705559
View attachment 2705561
Nahisi utakuwa umejichanganya boss wanguHujaweka bei za laptop na sifa zake
Tofauti ya refurb na used ipo wapi na nitajua vip?Mchanganyiko...refurb zipo na used zipo..
Hapo kwenye second hand ndo sijakuelewa..
Nadhani used na second hand ni kitu kimoja au
Labda unifahamishe vzur
Hivi duka la iphone used mwanza waga lipo mtaa gani kwa mnaopafaham naombeni mnielekezi nina shida na iphone X
Hizo simu za mkopo kuna jtaratibu zinafanyiwa yani mtu akidodge marejesho haifanyi kaziMimi natamani kuuza simu kwa mkopo kama baadhi ya wafanyabiashara wanaofanya, je procedure zikoje?
Ina shingap nduguView attachment 2709543
Njoo na offer yako.
Sasa nikutafute unipe maujanjaHizo simu za mkopo kuna jtaratibu zinafanyiwa yani mtu akidodge marejesho haifanyi kazi
Hapana mimi sio mtaalamuSasa nikutafute unipe maujanja
laki tano na tisini.Ina shingap ndugu
Nenda Rwagasore ,Ukifika Sahara ingia sokoni ndio duka lipo/yapo hapo mengi sanaView attachment 2709543
Njoo na offer yako.