Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Badala ya kuweka picha ya simu unaweka picha ya boxXIAOMI POCO C65,DUAL SIM,8GB RAM,256GB STORAGE,5000MAH BATTERY,50MP A1 TRIPPLE CAMERA,ANDROID 13,6.7 INCH SCREEN.
BRAND NEW.
PRICE 400,000TSH
Iko sealed siwezi kuifungua kabla haijanunuliwa,ukihitaji kujifunza zaidi unaweza kunicheki nikuelekeze ilivyo au unaweza ukagoogle image yake utaionaBadala ya kuweka picha ya simu unaweka picha ya box
Wanangu jana si nimeuziwa simu ya mkopo sumsung A15 lakini imefyatuliwa inavyoonekana maana imepigwa fila MDM fix tool. Hizi simu za kwenye magroup ya facebook na other platform sio poa, kibaya nilimuagiza jamaa yangu akaichukue maana mimi sikuwepo eneo husika.