Hao wa 50% OFF
Ni random guys wanaodhani Wordpress au Wix ndio Web Programming
Hawajui chochote kuhusu codes
Thus why kuna wajinga humu wanajua website zinatengenezwa kweli by 'Dragging' na 'Dropping' bila kujua code
Wordpress ni website builder, kuna real developers nyuma yake wanao tengeneza hizo themes na third-party plugins zinazo extend core wordpress
Hao ni wordpress developers, na wote ni PHP developers
hakuna website inayotengenezwa bila codes, Wordpress ilitengenezwa kwa wasio jua codes, nao kupata access ya kumiliki simple websites zinazoweza scales up to few thousands users tu, kama blog au simple e-commerce bila haja ya ku hire developers
Zina limitations na ni ngumu sana kuzi maintains
Watu hawajui mda gani unapaswa utumie website builder na mda gani hutakiwi
Kama unataka watu wajue na wewe una 'website' tumia WordPress au Wix
Ila kama una idea nzuri ya biashara, na una business model inayo Promise 'pesa nyingi'
Documenting idea yako, Tafuta real developers wa craft web au mobile app yako from the scratch using Modern Programming tools ambazo zipo well documented, secure na zinazo ruhusu App yako ku scale up to Millions or billions users
I'm not bashing Wordpress, ni massive PHP based website builder inayo run millions of websites
Ninachosema ni kuwa sio option sahihi kama una idea nzuri ya online Business
By the way unaweza pata website ya Tsh 20,000 kama ni ki template ninachoweza kuki generate kwa dakika 1,na hakina maana yoyote ile nachukua 20,000 yako kwa dakika
Na sikiweki kwenye resume yangu