Hawa waliotengeneza hii website hawakupaswa kutengeneza website ya aina hii kwa company hiyo, sijui walikuwa wanawaza wapi.Umenifahamu lakini nlichokiandika?
MO Dewji Foundation website kama hii, eti uanze kuandika html na css codes from scracth wakati kuna wordpress ya kufanya kazi faster?
wewe unaonekana umevamia hii fani hivi unajua faida ya kutumia .tz domain?1Sio uchafu wa local wa .co.tz nazungumzia .co.uk kwa Bei hiyo kumbe hata taarifa huna?
Walipaswa watengeneze vipi ndugu yangu?Hawa waliotengeneza hii website hawakupaswa kutengeneza website ya aina hii kwa company hiyo, sijui walikuwa wanawajua wapi.
Naaam! 🙏Hao wa 50% OFF
Ni random guys wanaodhani Wordpress au Wix ndio Web Programming
Hawajui chochote kuhusu codes
Thus why kuna wajinga humu wanajua website zinatengenezwa kweli by 'Dragging' na 'Dropping' bila kujua code
Wordpress ni website builder, kuna real developers nyuma yake wanao tengeneza hizo themes na third-party plugins zinazo extend core wordpress
Hao ni wordpress developers, na wote ni PHP developers
hakuna website inayotengenezwa bila codes, Wordpress ilitengenezwa kwa wasio jua codes, nao kupata access ya kumiliki simple websites zinazoweza scales up to few thousands users tu, kama blog au simple e-commerce bila haja ya ku hire developers
Zina limitations na ni ngumu sana kuzi maintains
Watu hawajui mda gani unapaswa utumie website builder na mda gani hutakiwi
Kama unataka watu wajue na wewe una 'website' tumia WordPress au Wix
Ila kama una idea nzuri ya biashara, na una business model inayo Promise 'pesa nyingi'
Documenting idea yako, Tafuta real developers wa craft web au mobile app yako from the scratch using Modern Programming tools ambazo zipo well documented, secure na zinazo ruhusu App yako ku scale up to Millions or billions users
I'm not bashing Wordpress, ni massive PHP based website builder inayo run millions of websites
Ninachosema ni kuwa sio option sahihi kama una idea nzuri ya online Business
By the way unaweza pata website ya Tsh 20,000 kama ni ki template ninachoweza kuki generate kwa dakika 1,na hakina maana yoyote ile nachukua 20,000 yako kwa dakika
Na sikiweki kwenye resume yangu
Ninayo doodly lifetime, nili nunua mwaka jana. Nilikuwa natumia kwa Project zangu.Wakuu naombeni msaada wa software ya doodle video maker au mbadala wake.
Watu hawajui tatizo ndio maana bloggers wakubwa kama neil patel, pete cashmore, brian dean, perez hilton, peter rojas nk hawa site zao hawatumii themes/templates coz zinapokea millions of visitors per day hawa wamecode blog zao na hapa ndio utajua kuwa kuna limitations za kutumia themes/ templates.Hao wa 50% OFF
Ni random guys wanaodhani Wordpress au Wix ndio Web Programming
Hawajui chochote kuhusu codes
Thus why kuna wajinga humu wanajua website zinatengenezwa kweli by 'Dragging' na 'Dropping' bila kujua code
Wordpress ni website builder, kuna real developers nyuma yake wanao tengeneza hizo themes na third-party plugins zinazo extend core wordpress
Hao ni wordpress developers, na wote ni PHP developers
hakuna website inayotengenezwa bila codes, Wordpress ilitengenezwa kwa wasio jua codes, nao kupata access ya kumiliki simple websites zinazoweza scales up to few thousands users tu, kama blog au simple e-commerce bila haja ya ku hire developers
Zina limitations na ni ngumu sana kuzi maintains
Watu hawajui mda gani unapaswa utumie website builder na mda gani hutakiwi
Kama unataka watu wajue na wewe una 'website' tumia WordPress au Wix
Ila kama una idea nzuri ya biashara, na una business model inayo Promise 'pesa nyingi'
Documenting idea yako, Tafuta real developers wa craft web au mobile app yako from the scratch using Modern Programming tools ambazo zipo well documented, secure na zinazo ruhusu App yako ku scale up to Millions or billions users
I'm not bashing Wordpress, ni massive PHP based website builder inayo run millions of websites
Ninachosema ni kuwa sio option sahihi kama una idea nzuri ya online Business
By the way unaweza pata website ya Tsh 20,000 kama ni ki template ninachoweza kuki generate kwa dakika 1,na hakina maana yoyote ile nachukua 20,000 yako kwa dakika
Na sikiweki kwenye resume yangu
Watu hawajui tatizo ndio maana bloggers wakubwa kama neil patel, pete cashmore, brian dean, perez hilton, peter rojas nk hawa site zao hawatumii themes/templates coz zinapokea millions of visitors per day hawa wamecode blog zao na hapa ndio utajua kuwa kuna limitations za kutumia themes/ templates.
course hzo tafuta vyuo vya wahindi posta kama upo dar wapo vizur sana.Kuna dogo anataka asomee Professional Photography je vyuo ni vipi naombeni contacts ila ni drop out hana cheti Cha Form Four
May be its because of demand and supply..... If other factors remain constantKwanini kila wakati mnashusha bei ya bidhaa zenu ?
Leo unakuta mtu anauza/kutengeneza tovuti kwa laki nne kesho tatu keahokitwa mbili mara laki na 80 sasa hii biashara haiko stable kiasi hicho au inakuwaje wakati mwingine mtu anauza native app kwa laki tatu n.k , embu tuambie hilo soko linasumbua sana ndugu zangu ama mnaona ni kawaida kushusha bei mara kwa mara?
Basi hata kufanya freelance huko upwork, Fiverr, na freelancer inashindikana pia?
Maana huwa naona ni kama kuna kitu hakiko sawa.
Msinichukulie vibaya lakinI Haya mambo huwa nayafikiria sana atleast kama itashindikana ni bora kutengeneza solution ambayo mtakuwa mnachaji watu kwa mwezi au hii haiko poa na inashindikana?.
Leo 50% OFF KESHO 20% OFF ITAFIKA HADI 10%
Maybe wakomgwe watatoa duku duku lao pia kusaidia vijana wenzangu
Zipo mpaka za 5000Ujinga huu!
Web development ina sehemu mbili, Design na Development. Tools nyingi zinajaribu kupunguza Development time. Ila design work ipo pale pale.
Na kuna task ambazo inabidi uandike wewe au ununue kwa mtu iwe in form of code or Plugin.
Unanunua wapi domain ya .co.tz kwa mfano kwa 1,300TZS? Huu ujinga mwingine!
Oops niliisoma elfu 50. Ninahitaji .tz akaunti. Registrar gani anafanya hizi anisaidie?Zipo mpaka za 5000
Duuuh mm blog tu siwez kwa hiyo pesa ndio sembuse website ya kampuni ndio nikutengenezee kwa 5000.Zipo mpaka za 5000