Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Max malipo walipigwa chini na Serikali kwa sababu waliipiga Serikalisasa wakileta tiketi za kielektroniki zile za kwao za kwenye mandoo watapata wapi maokoto? muwe mnafikiaria wakati mwingine kimsingi huo ni upigaji wa kimtindo watu wanaishi mjini buana, we hujawahi kujiuliza kwanini waliwapiga chini max malipo ili watumie mikaratasi tena bila aibu katika karne hii ya kidijitali?
Bandiko halihusiani na hayo ulioandika, kuna vibanda vya kukatia tiketi kando ya barabara na ndio mada yenyewe, Udart waliweka hivyo vibanda ili wauze tiketi ila hawana chenji.Benjamin Mkapa Stadium na Vivuko vya Kigamboni wanatumia kadi ni mwendo wa cashless tu.
WanakeraaUtashangaa pale kimara kuna madirisha manne ya kuuzia ticketi lkn dirisha moja tu ndo lina foreni ndefuuu! Ukienda dirisha ambalo halina foreni eti anakujibu kirahisi tu, siuzi ticket za kwenda sehemu x, nenda kapange pale kwenye foleni ndefuuu!
Kwa asiyekuwa na smartphone je ndugu great thinker?Kweli huu nao uzi? Wewe unatumia Jamiiforum halafu haufahamu kuwa tiketi ya mwendokasi unaweza kuipata kielektroniki kupitia Dar City Navigator app? Watanzania tuache kulalamika vitu vidogo vidogo kama chenchi badala yake twende cashless. Magufuli terminal, Benjamin Mkapa Stadium na Vivuko vya Kigamboni wanatumia kadi ni mwendo wa cashless tu.
Gavana wa BOT alishasema gharama ni kubwa kutengeneza noti na coins, watumiaji wajikite kwenye cashless halafu anatokea Great Thinker mmoja analalamika sijui dharau, kejeli na kitu gani, which can not be proved.
sasa wakileta tiketi za kielektroniki zile za kwao za kwenye mandoo watapata wapi maokoto?
Akikujibu nitag ππKwa asiyekuwa na smartphone je ndugu great thinker?
Makaratasi ndio diliMax malipo walipigwa chini na Serikali kwa sababu waliipiga Serikali
Mfumo wa e-ticket ulikuwa unazuia wizi. Ila kwa sasa wauza ticket ni matajiri. Dkt Samia anahujumiwa!Siamini kabisa kuwa Udart wanaweza kuendesha biashara kwa kukosa chenji ya kurudisha kwa abiria wao.
Mara nyingi sana utakutana na kero la kukosekana chenji kwenye vile vibanda vya wauza tiketi vilivyoko kando ya barabara ya Morogoro hasa kwa maeneo ya Kimara Temboni, Mbezi kwa msuguri, Kibamba, Kiluvya nk.
Wakatisha tiketi wana sura ngumu, majibu ya nyodo, kebehi, dharau, huwa wanajibu kwa sauti kubwa HAKUNA CHENJI kisha wanatazama pembeni.
Hivi ni kweli wakatisha ticket Udart wanakosaga chenji? Kwa nini wakose chenji?
Na kama hawataki kubeba abiria basi wapaki mabasi yao jangwaniUzi tayari.
Kama hutaki kusafiri Baki nyumbani kwako
Pamoja na mama Abdu kuhujumiwa sio abiria ndio waathirika wakubwa wa hizo hujuma.Mfumo wa e-ticket ulikuwa unazuia wizi. Ila kwa sasa wauza ticket ni matajiri. Dkt Samia anahujumiwa!
Nilikua nawaza kwanini kusiwe na mfumo wa kuswap card au simu ukipanda gari kumbe magari hayana hiyo mifumo. Poleni mnaotumia huo usafiriHizo tiketi hawawezi kuzitumia, kwanza haziendani na mifumo ya kupanda basi huku mnagombana na kusukumizana
π€£π€£π€£Na kama hawataki kubeba abiria basi wapaki mabasi yao jangwani
Hayo magari ni ya kishsmba mno, hayana mfumo wa GPS, bell π hazifanyi kazi, yanajaza abiria kama ng'ombe wapelekwao machinjioni, hayana kiyoyozi, so mambo ya kuswap card hayawezi kuwemo ktk hayo magariNilikua nawaza kwanini kusiwe na mfumo wa kuswap card au simu ukipanda gari kumbe magari hayana hiyo mifumo.
Mbongo hazuiliki kazaliwa kupiga kama control number tu watu wanapita nazo sembuse e tiketi.Mfumo wa e-ticket ulikuwa unazuia wizi. Ila kwa sasa wauza ticket ni matajiri. Dkt Samia anahujumiwa!