Wauza viatu vya mtumba Arusha

Wauza viatu vya mtumba Arusha

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Jana jioni niliingia kwenye duka la viatu vya mtumba mitaa KILOMBERO Arusha... Opp mahakama ya levolosi.
Nilihitaji raba simpo tu ila nzuri.
Duka lilikuwa limesheni viatu na yapo maduka kadhaa huo mtaa
Niliona raba kadhaa nzuri nikaona niulizie Ile simpo kabisa kwani sikuwa na bajeti kubwa.. Niliuliza bei na kujulishwa kuwa bei ni shs 185, 000? (laki moja na themanini na tano)
Nilibaki mdomo wazi na kamua kwenda Kuangalia mpya tena Og kwa robo ya hiyo bei

Kimsingi kwa hiyo bei sijui kama wanaweza kuuza pea mbili kwa siku? .. . Wana lipaje kodi? Na mishahara?
Wanasahau dunia ya sasa ni kuuza sana kwa faida kidogo?
 
Ndo wako hvyo,maduka ya viatu vya mitumba yote hapo town wanauza vitu bei juu sana hasa viatu vya kiume
 
Visije kuwA na mizigo ya madawa wanao nunua ni wenye kuelewa. Habari kama hii ya madawa niliwahi isikia magomen muaka ya mwishoni ya 1998
 
Kwa kweli wauza viatu wa jiji la arusha wapo kwa ajili ya kuwauzia watalii asee hata nguo za mitumba nayo bei mbaya sanaaa
 
mkuu hapo arusha mtu kununua raba ya laki na nusu siyo jambo la kushangaza
 
Wanuanuji wa hapo ni watu wa mgodi wana hela mimi kuna jamaa alipenda SAA Yangu akaniambia taja bei nikamwambia 50,000 wakat saa nilinuua 15,000 Tu
 
Jana jioni niliingia kwenye duka la viatu vya mtumba mitaa KILOMBERO Arusha... Opp mahakama ya levolosi.
Nilihitaji raba simpo tu ila nzuri.
Duka lilikuwa limesheni viatu na yapo maduka kadhaa huo mtaa
Niliona raba kadhaa nzuri nikaona niulizie Ile simpo kabisa kwani sikuwa na bajeti kubwa.. Niliuliza bei na kujulishwa kuwa bei ni shs 185, 000? (laki moja na themanini na tano)
Nilibaki mdomo wazi na kamua kwenda Kuangalia mpya tena Og kwa robo ya hiyo bei

Kimsingi kwa hiyo bei sijui kama wanaweza kuuza pea mbili kwa siku? .. . Wana lipaje kodi? Na mishahara?
Wanasahau dunia ya sasa ni kuuza sana kwa faida kidogo?
Jiji la mabilionea hilo we mtu wa maelfu huliwezi.....teh teh teh
 
Back
Top Bottom