Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Jana jioni niliingia kwenye duka la viatu vya mtumba mitaa KILOMBERO Arusha... Opp mahakama ya levolosi.
Nilihitaji raba simpo tu ila nzuri.
Duka lilikuwa limesheni viatu na yapo maduka kadhaa huo mtaa
Niliona raba kadhaa nzuri nikaona niulizie Ile simpo kabisa kwani sikuwa na bajeti kubwa.. Niliuliza bei na kujulishwa kuwa bei ni shs 185, 000? (laki moja na themanini na tano)
Nilibaki mdomo wazi na kamua kwenda Kuangalia mpya tena Og kwa robo ya hiyo bei
Kimsingi kwa hiyo bei sijui kama wanaweza kuuza pea mbili kwa siku? .. . Wana lipaje kodi? Na mishahara?
Wanasahau dunia ya sasa ni kuuza sana kwa faida kidogo?