Magodoro_bei_poa
Senior Member
- Sep 16, 2022
- 178
- 141
- Thread starter
-
- #41
Vita supreme 5*6 inch 10 na 12 Bei zake?
Umeacha kile kibwagizo chao: ......mikoani tunatuma "kwa uaminifu mkubwa"Mmh hiyo kabati inavutia, tatizo lenu utasikia tuko, dar na mikoani tunatuma🤣
Boss nikikupa shuhuda au wakaja wale waliotuma pesa zao na godoro wamezipataUmeacha kile kibwagizo chao: ......mikoani tunatuma "kwa uaminifu mkubwa"
Na ukilogwa ukatuma pesa, umeumia
Yes ni godoro bora na kiwanda cha zamani 1992 karibu sana zipo piaSijui kwanini, Bado naamini godoro bora Tz ni QFL Magodoro Dodoma
🤣🤣🤣🤣🤣Umeacha kile kibwagizo chao: ......mikoani tunatuma "kwa uaminifu mkubwa"
Na ukilogwa ukatuma pesa, umeumia