Wauzaji magodoro usafiri bure popote ndani ya Dar

Wauzaji magodoro usafiri bure popote ndani ya Dar

IMG_3101.jpg

Magodoro aina zote yapo popote Dar tunakufikishia bureeee
 
Sijui kwanini, Bado naamini godoro bora Tz ni QFL Magodoro Dodoma
 
Umeacha kile kibwagizo chao: ......mikoani tunatuma "kwa uaminifu mkubwa"
Na ukilogwa ukatuma pesa, umeumia
Boss nikikupa shuhuda au wakaja wale waliotuma pesa zao na godoro wamezipata
Kiufupi kutokuwa na uaminifu kwa mmoja kusifanye wote

Pia msifanye biashara na madalali sidhani kama una ofisi kabisa zenye usajiri utafanya huo ujinga

Kwetu uwe na amani ni ofisi rasmi
Pia baadhi ya mikoa tuna wakala tayari
Kama Dodoma,Arusha na mwanza
 
Back
Top Bottom