Kami machines solution
Member
- Jan 29, 2022
- 30
- 9
Karibu sanaAhsante kwa taarifa...
Ipi hyo ile kama mtungi???Nimeziona mashine mbalimbali mmejitahidi kuziweka nyingi kweli hasa hiyo ambayo ni kubwa mfano wa nyumba.
Hizo wenzetu mnazionea wapi?Mi naiona hiyo moja tuIpi hyo ile kama mtungi???
😁Nimeziona mashine mbalimbali mmejitahidi kuziweka nyingi kweli hasa hiyo ambayo ni kubwa mfano wa nyumba.
Unahitaji kuona mashine gan bossHizo wenzetu mnazionea wapi?Mi naiona hiyo moja tu
Mbn watucheka boss[emoji16]
[emoji16][emoji28][emoji28]
jamaa hapo juu kauliza, mbona mmeweka 'details' za mashine moja ilihali 'heading' inasema mashine 'mbalimbali' ?Mbn watucheka boss
Yaeh ajaribu kufungua ukurasa wetu tunatengeneza mashine mbali mbali lkn hapo tumeelezea mashine moja iko na picha yakejamaa hapo juu kauliza, mbona mmeweka 'details' za mashine moja ilihali 'heading' inasema mashine 'mbalimbali' ?
okay sawa, mko maeneo gani ?Yaeh ajaribu kufungua ukurasa wetu tunatengeneza mashine mbali mbali lkn hapo tumeelezea mashine moja iko na picha yake
Tunapatikana Dar es salaam, mtaa wa mabibo mwishookay sawa, mko maeneo gani ?
Karibu sana, ufike ofisini kwetuokay sawa, mko maeneo gani ?
safi sana, sasa hii location yenu update kwenye post yako kuu asitokee mwengine akauliza mpo/mnapatikana wapiTunapatikana Dar es salaam, mtaa wa mabibo mwisho
Shukran mzee kwa ushaursafi sana, sasa hii location yenu update kwenye post yako kuu asitokee mwengine akauliza mpo/mnapatikana wapi
1.8m boss karibuPellet mill mnauza kwa gharama gani ?