INAUZWA Wauzaji na watengenezaji wa mashine mbalimbali

INAUZWA Wauzaji na watengenezaji wa mashine mbalimbali

Boss je mashine ya kufunga vifuko vya ice cream kama hizi u-freshi zinaweza kupatikana hapo ofisini kwako?

images.jpeg
 
TUNAUZA MASHINE YA KUKATA/KUCHAKATA MAJANI WE ARE SELLING GRASS CHOPPING

Bei ni 1,550,000Tsh

Call/Text/: 0656873718
Whatsapp: 0719765056

Location; Dar es salaam, mabibo mwisho

DETAIL SIFA ZA GRASS CHOPPING MACHINE:

Ina horse power (HP) 5.4
Ina Volt 220
Ina kilowatt 4

Inauwezo wa kusaga majani makavu kilo 500 kwa lisaa limoja na pia inauwezo wa kusaga majani mabichi kilo 1,000 kwa lisaa limoja.

View attachment 2143343
Nahitaji mashine ya kutengeneza chaki
 
Back
Top Bottom