Wauzaji wa handbags na masimo kwa bei ya jumla naomba kujuzwa bei za handbags medium size

Mike Moe

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2019
Posts
319
Reaction score
335
Kwa wale ndugu zangu Wauzaji wa handbags na massimo(kama sijakosea kuiandika hiyo masimo) kwa bei ya jumla naomba kujuzwa bei za jumla handbags medium size pamoja na massimo
Pia naomba kufahamu bei ya jumla kwa pochi kubwa za kike
 
Mosimo elfu 6500 24, handbags nenda kwa kina ndakilawe kule congo na Aggrey na jengo moja linaitwa Colombia

Pochi ziko had buku nane, kuna mchina mmoja anaitwa Shangazi yuko Swahili na Mchikichi
Screenshot_20250110_163721_WhatsAppBusiness.jpg
 
Back
Top Bottom