Hello brothers and sisters,
Naomba nijuzwa ni wapi naweza pata mbegu za maboga/tetele kwa Dar, au unga wake.
Na bei kwa kilo ni kiasi gani kwa anayefahamu.