Wauzaji wa mbegu za maboga/tetele Dar

Wauzaji wa mbegu za maboga/tetele Dar

ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
8,120
Reaction score
5,352
Hello brothers and sisters,
Naomba nijuzwa ni wapi naweza pata mbegu za maboga/tetele kwa Dar, au unga wake.
Na bei kwa kilo ni kiasi gani kwa anayefahamu.
 
Kama ukikosa dar sema nikutumie ninazo nyingi hapa mbeya
 
Hello brothers and sisters,
Naomba nijuzwa ni wapi naweza pata mbegu za maboga/tetele kwa Dar, au unga wake.
Na bei kwa kilo ni kiasi gani kwa anayefahamu.
Mbona ni nyingi kny maduka ya nafaka?
 
Mimi nafanya hio biznes
Ila nipo Iringa ..kwa mawasiliano zaid njoo pm
 
Back
Top Bottom