A
Anonymous
Guest
Jamani kuna tatizo kwenye mabucha ya nyama hasa mitaa ya Mbezi Beach, wanajifanya wanauza nyama bei rahisi kumbe kwa kila kilo wanapunguza gram 200.
Wanaohusika tunaomba mtuokoe, sina details nyingi lakini hilo nina uhakika nao linafanyika.
Mamlaka zinazohusika zinatakiwa kufuatilia hii changamoto, ipo na wenyewe wakisoma hapa wanajua kinachoendele.
Pia soma:
~ Waziri Jafo: Wauza nyama Buchani kuna ujanjaujanja wanaufanya kuibia Wateja kwenye mizani
~ Wafanyabiashara wa bucha sio waaminifu kabisa hasa wa Mbezi kwa Msuguli, wanaibia wateja