Wauzaji wa T-shirts njooni hapa mchukue pesa

Wauzaji wa T-shirts njooni hapa mchukue pesa

Makylina

Senior Member
Joined
Dec 15, 2014
Posts
145
Reaction score
59
Tunahitaji t-shirts: tuwasiliane kwa maelezo zaid kama unazo au una mtu unamfaham anaweza kutusaidia kuzipata. Njoo ukiwa na dondoo zifuatazo:

1. Bei kwa tshirt
2. Hizi bei ni printed au not printed!.(ukiprint tutakupa nembo husika)
3. Unapatikana mkoa gani?
4. Nahitaji tshirt 200 size ndogo yaan watoto wa darasa la 1 mpaka 4 (7-10 years)
5. Rangi ni Kijani
6. Tupo Mbeya
7. Round cola
8. Unaweza kutufikishia kwa muda gani baada ya kuweka order


MAWASILIANO:

0757299238

[email protected]
 
Back
Top Bottom