K kitwangeni Member Joined Apr 1, 2015 Posts 12 Reaction score 2 Jun 18, 2015 #1 Habari wanajamvi. Natarajia kufungua company itayojihusisha na events kama wedding, matamasha N.k... Naomba kujua gharama na upatikanaji wa Tents, hasa zile za kufanyia open events. Natanguliza shukrani.
Habari wanajamvi. Natarajia kufungua company itayojihusisha na events kama wedding, matamasha N.k... Naomba kujua gharama na upatikanaji wa Tents, hasa zile za kufanyia open events. Natanguliza shukrani.
KIOO JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 6,235 Reaction score 5,854 Jun 18, 2015 #2 Hongera ndugu ngoja waje wataalam watakusaidia kiongozi.