Wauzaji wa TENTS

Wauzaji wa TENTS

kitwangeni

Member
Joined
Apr 1, 2015
Posts
12
Reaction score
2
Habari wanajamvi.

Natarajia kufungua company itayojihusisha na events kama wedding, matamasha N.k...
Naomba kujua gharama na upatikanaji wa Tents, hasa zile za kufanyia open events.

Natanguliza shukrani.
 
Hongera ndugu ngoja waje wataalam watakusaidia kiongozi.
 
Back
Top Bottom