Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi kuzuia mtu kuandika chochote anachokitaka kwa sababu mimi si miongoni mwa wamiliki wa JF ila nina haki ya kutoa maoni katika uzi wa yeyote sijali kama atafurahi au atachukizwa.Unapenda bei isiandikwe?
Kupenda au kuto kupenda kitu ni perseption za mtu boss,naamini kabisa kuna vitu vingine ambavyo ww unavipenda ila wengine hawavipendi its matter of choice boss, na kuhusu kutowa maoni unaruhusiwa kwa sababu tangazo limewekwa hadharani...ningekuwa labda sitaki maoni sidhani kama ningepost hadhani ningewatumia watu inbox...unakaribishwa kuowa maoni yoyote boss usijaliSiwezi kuzuia mtu kuandika chochote anachokitaka kwa sababu mimi si miongoni mwa wamiliki wa JF ila nina haki ya kutoa maoni katika uzi wa yeyote sijali kama atafurahi au atachukizwa.
Maoni yangu binafsi sijavutiwa na hivyo viatu wala bei yake simsemei mtu mwingine yeyote hivyo kama umekereka pole sana.
Kama unalijua hilo hamna haja ya kujibishana ungetosheka na mchango wangu wa mwanzo ungesoma ungepita tu,usitarajie ukiweka mada yako basi kila mtu atatoa maoni yale unayopenda wewe kuyasikia.Kupenda au kuto kupenda kitu ni perseption za mtu boss,naamini kabisa kuna vitu vingine ambavyo ww unavipenda ila wengine hawavipendi its matter of choice boss, na kuhusu kutowa maoni unaruhusiwa kwa sababu tangazo limewekwa hadharani...ningekuwa labda sitaki maoni sidhani kama ningepost hadhani ningewatumia watu inbox...unakaribishwa kuowa maoni yoyote boss usijali
Possibly hukunielewa!!! Sikukuuliza kwa ajili ya ku argue bali nilikuuliza ili nijifunze kitu kutoka kwako,lakini naona umeniquote vibaya boss please samahani sana boss kwa kutokuelewanaKama unalijua hilo hamna haja ya kujibishana ungetosheka na mchango wangu wa mwanzo ungesoma ungepita tu,usitarajie ukiweka mada yako basi kila mtu atatoa maoni yale unayopenda wewe kuyasikia.
Bei ya kiatu inategemea na namna kilivyonunuliwa boss hivi sio viatu vya mabalo ni viatu vya kupoint.. karume kuna viatu mpaka vya laki na nusu bossMkuu mm viatu mtumba og lakini hizo bei mboni hazi reflect reality? Kwa uzoefu wangu mm apo karume ongezeko la bei kwako ni kubwa sana.
Bei ya kiatu inategemea na namna kilivyonunuliwa boss hivi sio viatu vya mabalo ni viatu vya kupoint.. karume kuna viatu mpaka vya laki na nusu boss