Wauzaji wa Viatu vikali vya mtumba (Raba na Mokaz) pia tunauza na mapochi na mabegi ya mtumba

Mhhhh karume nikija na 100K natoka na mzigo wa kushanta
Leo hii nitok na pea mbili tuu
#Viatu vizuri ila helaaa sinaaa
Njoo Karume boss ukiingia magolini ukitoka na hizo pair za kushanta nakuongeza na mm pair 5
 
Mkuu bei zako zina uhalisia. Snicker ya hivi namba 40 au 41 unayo boss?
View attachment 2611694
We mjanja, hii kazi nilikua nayo ya kwanza Common Project ikaisha, nikachukua Common Liugege nayo ndio hii imeshafubaa baada ya kama miaka 4 ila bado imara.Asivi natafuta huyu mnyama..
Polo ralph lauren
 
Ebwana hiyo sneaker naikubali na sijawahi kuipata ya mtumba ya mguu wangu.

Hizi polo yaani nikichukua ya brown nikifika mbele nitajilaumu kwanini sijachukua nyeupe and vice versa.
 
Ebwana ngoja niendelee kusubiri kaka. Ni kazi ila sasa mkato wake utanizuia kua na code ambazo zingeenda na ile
Nakubali kaka nikiipata kama hiyo nitakushtuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…