Wauzaji wa vifaa tiba (medical equipment) Tanzania

Wauzaji wa vifaa tiba (medical equipment) Tanzania

Made of us

Member
Joined
May 6, 2023
Posts
11
Reaction score
2
Habari, Hill Medical Equipment ni kampuni inayo jihusisha na uuzaji na usambazaji wa vifaa tiba(medical equipment) katika mikoa yote ndani ya tanzania.

Pia hill medical equipment tunauza vifaa tiba vyenye ubora wa hali ya juu kwa bei elekezi ya serikali.

Tunakalibisha taasisi, hospitali, zaanati na vituo vya afya binafsi katika ununuzi wa vifaa bora vya afya kwa bei elekezi
Simu: 0692235221

Vifaa tunavyo uza ni kama,
Durable equipment
Wheelchairs na Hospital beds

Diagnostic Equipment
X-Rays, MRI Scans,stethoscopes and thermometers.

Surgical Equipment
ITables,HampersKickbuckets Leg and Arm Supports

Simu. 0692235221
Karibu
 
Sawa tutakuja.....tutafungua maabara na we shall buy diagonistic equipments.
 
Mna mashine zipi kwa ajili ya kupima Hemoglobin,na bei zake please.
 
Back
Top Bottom