Wauzaji wa vifaa vya magari used kutoka Dubai

Wauzaji wa vifaa vya magari used kutoka Dubai

sunak90

Senior Member
Joined
Jan 17, 2024
Posts
125
Reaction score
300
Husika na mada tajwa hapo juu , naomba muuzaji wa spear za magari used au mpya kama ipo spear hii naomba uniambie bei yako hapa

nahitaji rejeta full pamoja na caulling yake na reserve tank ya coolant ni shilingi ngapi ukiwa mpya au used ya Japan au Dubai ,gari aina ya Toyota Brevis 1JZ FSE
 
Kama upo DAR nenda mwenyewe pale shaurimoyo utapata kila Aina ya spare parts za Toyota
Nenda na fundi wako achana na maisha ya delivery utapigwa za uso
 
Back
Top Bottom