JE WAJUA???
Ingawa madini ya Tanzanite hupatikana Tanzania pekee dunia nzima lakini hadi kufikia 2015 wauzaji wakubwa wa Tanzanite duniani walikuwa ni nchi ya Kenya[emoji1139] ikifuatiwa na nchi ya Afrika Kusini[emoji1221].
- Kufikia 2021 Tanzania[emoji1241] ni nchi inayoongoza duniani kwa uuzaji wa Tanzanite huku pato litokanalo na madini hayo likipanda.
- Mafanikio haya yametokana na usimamizi bora wa kuzuia/ kupunguza utoroshaji wa madini kwenda nje ya nchi kinyemera.
- Ujenzi wa kuta za kuzua utoroshaji madini na kituo (soko) cha Tanzanite nchini ni kati ya hatua zitazo endelea kuchochea mafanikio haya.