Wauzaji wakubwa wa Tanzanite duniani ni Kenya na Afrika Kusini

Wauzaji wakubwa wa Tanzanite duniani ni Kenya na Afrika Kusini

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
JE WAJUA?

Ingawa madini ya Tanzanite hupatikana Tanzania pekee dunia nzima lakini hadi kufikia 2015 wauzaji wakubwa wa Tanzanite duniani walikuwa ni nchi ya Kenya🇰🇪 ikifuatiwa na nchi ya Afrika Kusini🇿🇦.

- Kufikia 2021 Tanzania🇹🇿 ni nchi inayoongoza duniani kwa uuzaji wa Tanzanite huku pato litokanalo na madini hayo likipanda.

- Mafanikio haya yametokana na usimamizi bora wa kuzuia/ kupunguza utoroshaji wa madini kwenda nje ya nchi kinyemera.

- Ujenzi wa kuta za kuzua utoroshaji madini na kituo (soko) cha Tanzanite nchini ni kati ya hatua zitazo endelea kuchochea mafanikio haya.
 
Yuko hapo mwamba
Screenshot_20210203-184712.jpg
 
Jamaa alikuwa mzuri matakoni ili mbovu kichwani na ndio maana alikufa kwa kukataa kunywa panadol
 
JE WAJUA???
Ingawa madini ya Tanzanite hupatikana Tanzania pekee dunia nzima lakini hadi kufikia 2015 wauzaji wakubwa wa Tanzanite duniani walikuwa ni nchi ya Kenya[emoji1139] ikifuatiwa na nchi ya Afrika Kusini[emoji1221].

- Kufikia 2021 Tanzania[emoji1241] ni nchi inayoongoza duniani kwa uuzaji wa Tanzanite huku pato litokanalo na madini hayo likipanda.

- Mafanikio haya yametokana na usimamizi bora wa kuzuia/ kupunguza utoroshaji wa madini kwenda nje ya nchi kinyemera.

- Ujenzi wa kuta za kuzua utoroshaji madini na kituo (soko) cha Tanzanite nchini ni kati ya hatua zitazo endelea kuchochea mafanikio haya.
Tunapigwa
 
Back
Top Bottom