Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
SANDA zinawasubiri , kila atakayekutana na simba ataonja kipigo.. bewareHii risiti imetunzwa vyema kabisa
Please tuwekee hapa kikosi ABaada ya kufanikiwa kukifunga kikosi "C" cha kaizer chiefs fc, hatutaki visingizio siku mkikutana na mfalme wa nyika ,The mighty Simba Sc, katika mechi ya ngao ya hisani.
UBAYA UBWELA
Aliyekwambia kikosi C ni nani? Nenda kwenye page ya Kaizer uone jinsi walivyompongeza Nabi kwa line up ya kibabe.Baada ya kufanikiwa kukifunga kikosi "C" cha kaizer chiefs fc, hatutaki visingizio siku mkikutana na mfalme wa nyika ,The mighty Simba Sc, katika mechi ya ngao ya hisani.
UBAYA UBWELA
Wale watoto watoto Nabi alikuwa anatengeneza uzoefu wa vijana wadogo.Aliyekwambia kikosi C ni nani? Nenda kwenye page ya Kaizer uone jinsi walivyompongeza Nabi kwa line up ya kibabe.
Usije ukakimbia JF tu kwani Wewe Hauogopi?!Baada ya kufanikiwa kukifunga kikosi "C" cha kaizer chiefs fc, hatutaki visingizio siku mkikutana na mfalme wa nyika ,The mighty Simba Sc, katika mechi ya ngao ya hisani.
UBAYA UBWELA
Trh 8/8 mkishakandwa na nyinyi mtasema mmeingiza kikosi C ntakutafuta hapahapa nikukande kwa madongo, andaeni kikosi chenu hatutaki visingizio baada ya mechiWale watoto watoto Nabi alikuwa anatengeneza uzoefu wa vijana wadogo.
Weka hapa kikosi cha kwanza halisi cha Kaizer Chiefs. Pengine mashabiki wa bongo wa Kaizer Chiefs wanaijua Kaizer Chiefs kuliko wenye Kaizer Chiefs yao kule Africa KusiniWale watoto watoto Nabi alikuwa anatengeneza uzoefu wa vijana wadogo.
Msisingizie mmeingiza kikosi C tena nyinyi mtakufa zaidi ya 5, tutafutane baada ya mechiUBAYA UBWEGE
Ndo unalia?Baada ya kufanikiwa kukifunga kikosi "C" cha kaizer chiefs fc, hatutaki visingizio siku mkikutana na mfalme wa nyika ,The mighty Simba Sc, katika mechi ya ngao ya hisani.
UBAYA UBWELA
Tunataka Hao Ubwaya Ubwela FC waandae kosi lao la kwanza hatutaki visingizio hii imeshapita kituo kinachofuata ni kumkanda huyo Ubwaya Ubwela FC 5+ narudia atagongwa 5+Weka hapa kikosi cha kwanza halisi cha Kaizer Chiefs. Pengine mashabiki wa bongo wa Kaizer Chiefs wanaijua Kaizer Chiefs kuliko wenye Kaizer Chiefs yao kule Africa Kusini