Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Upo tz unaambiwa uchawi upo unambishia sasa kama sio ujuaji huo ni nini mkuu?Tatizo la wabongo wamezoea porojo wakikutana na Watu wanaowataka watoe facts mnawaita wajuaji.
Mbongo anaweza akakuambia uchawi upo.
Alafu ukambishia ili akupe facts Kwa vile Hana uwezo wa kujenga hoja atakuita Mjuaji.
Hiyo pia inawakumba Wanawake wengi weñye Akili za kuhoji àmbapo wakikutana na Wanaume wengi wa kibongo Wazee wa ndîo Mzee. Huwaita Wadada hao wajuaji