Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Upo tz unaambiwa uchawi upo unambishia sasa kama sio ujuaji huo ni nini mkuu?Tatizo la wabongo wamezoea porojo wakikutana na Watu wanaowataka watoe facts mnawaita wajuaji.
Mbongo anaweza akakuambia uchawi upo.
Alafu ukambishia ili akupe facts Kwa vile Hana uwezo wa kujenga hoja atakuita Mjuaji.
Hiyo pia inawakumba Wanawake wengi weñye Akili za kuhoji àmbapo wakikutana na Wanaume wengi wa kibongo Wazee wa ndîo Mzee. Huwaita Wadada hao wajuaji
Shida ni mtazamo HASI kwa neno mjuaji ila ukiwaza kwenye mlengo chanya hakuna tatizoSasa ulitaka Mtu akukubalie unapoongea Vitu vya uongo visivyo na ukweli Wala mantiki?
Mfano, Mtu anakuambia Huko kigoma Mwanamke Kazaa Kuku alafu anaongea kama ni kweli Wakati siô kweli. Unamwambia Mtu hawezi kuzaa Kuku hizô ni drama na propaganda.
MTU anakuona Mjuaji. Wakati ni Jambo Dogo la Àkili ya kawaidà tuu
Shida ni mtazamo HASI kwa neno mjuaji ila ukiwaza kwenye mlengo chanya hakuna tatizo
Upo tz unaambiwa uchawi upo unambishia sasa kama sio ujuaji huo ni nini mkuu?
Kabla ya yote unajua Nini maana uchawi?Uchawi upo Wapi nije niuone
Nimecheka had bas, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wengi wao hujiona ni wasomi sana na wanaishi juu ya sheria
Wako wangapiYaani wote ninaowafahamu wako hivyo. Sasa nawachunguza nisiowajua ili nigundue kitu
Ni kweli mkuu, wachunguze utajioneaNimecheka had bas, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]