thadei kimambo
JF-Expert Member
- Jan 31, 2013
- 220
- 126
Aisee...
mi sijui hethabu
sio shida kwani Muhongo alikwisha sema watanzania ni wavivu.swali Mulugo angeisomajee?
meaning?
Mulugo kama N/waziri wa elimu ndiye kiongozi mvivu ambaye historia ya nchi yake anaijua lakini kapotosha.sasa mimi mwanafunzi wake nisemeje kwa tarakimu kama hiyo?basi duniani wote wavivu maana tupo Biln 24 wewe umesema Biln 25 ukiongeza na panya Biln 1
Data source:idadi ya watu duniani

according to estimation made by the united states of america in 2011 by the 4mular(worldometer) the world is aproxmt to have 7 billion people.how come 24? Have you included cocroches?