thadei kimambo
JF-Expert Member
- Jan 31, 2013
- 220
- 126
Kaa ukijua zaidi ya watu 2580723500 duniani ni wavivu,na wewe ni mmoja kati yao kwa sababu hujajisumbua hata kusoma hiyo idadi ya wavivu wenzako....UONGO?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee...
mi sijui hethabu
sio shida kwani Muhongo alikwisha sema watanzania ni wavivu.swali Mulugo angeisomajee?
meaning?
Mulugo kama N/waziri wa elimu ndiye kiongozi mvivu ambaye historia ya nchi yake anaijua lakini kapotosha.sasa mimi mwanafunzi wake nisemeje kwa tarakimu kama hiyo?basi duniani wote wavivu maana tupo Biln 24 wewe umesema Biln 25 ukiongeza na panya Biln 1
Data source:idadi ya watu duniani

according to estimation made by the united states of america in 2011 by the 4mular(worldometer) the world is aproxmt to have 7 billion people.how come 24? Have you included cocroches?