OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,315
- 13,269
Hellow wakuu.
Sasa hivi huihitaji kwenda posta pale kona house of wisdom wala library unachohitaji ni bando lako tu na simu.
Jinsi ya kupiga gym ya ubongo
Tafuta jina la kitabu unachotaka kusoma, mfano "man thinketh by james allen" kisha ingia google andika man thinketh chapter one, otakuletea summary ya kitabu chote kwa maneno mafupi na lugha rahisi kabisaaaa.
Soma hiyo chapter huku ukilinganisha na uhalisia kwenye maisha ya kila siku, ukiona kuna mapungufu unakichalenge kitabu kwa kugoogle jinsi unavyohisi hiyo chapter inamapungufu AI itakupa majibu na kukuonyesha ulipopatia na ulipokosea. Google mawazo yako utagundua jambo la ajabu sana AI ni zaidi ya maprofesa 10 wa chuo fulani 😊
Hamia chapter ya pili, google, soma kosoa, google maoninyako Mwendo huo huo 😆 ndani ya dakika kadhaa unakuwa ushasoma kitabu chote tena kwa umakini wa hali ya juu.
Wazee hii ni gym tosha mimi nimejaribu naona mambo ni smooth sana bando na simu ni chuo kikuu kilichojificha mtandaoni
Kila lakheri na mlete mrejesho wa gym unayopiga kwa sasa na gym yangu ni hiyo
NB: Elimu haina mwisho tupo dhama za AI tunanata na beat
Karibuni