Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,517
- 3,316
Umekariri au ni vile unapata bahati ya kuwaona mitandaoni hao walamba midomo basi unadhani kila mtu ni wa hivyo .Usije ukawa na mtoto ukakaa naye maeneo haya.... Huwa hawakui, hawawi wanaume. Mi hata nikipata rafiki akiwa amekulia hayo maeneo huwa namwona kuwa bado hajawa mwanaume kamili
Sisi wanaume wa mikoani tunawadhatau sana watu wa Daa ambao wanajiita wanaume mfano huyu Tid nasikia bado anafugwa anaishi kwa mama yake nadhani mpaka akija olewa ndo atatoka hapo
View attachment 3631902View attachment 3631915
Walugaluga mnaipenda sana Dar, ila umasikini unawafanya muendelee kuishi huko maporini, na hata mkija Dar, sanasana mnapanga nje ya mji huko.
Huu sio mkoa, nchi kamili ina mikoa mi 5.
Ilala
Kinondoni
Temeke
Ubungo
Kigamboni
Labda huko kimara, walugaluga mmejenga slum ya kwanza Dar es salaamSisi wa mikoani ndio tunainenga Dar nyie mnaishia kucheza vigodoro na kuwa wambeya kama Dada zenu
Aibu sana mkuu huwa awana tofauti na mademu tabia zaoZombie generation ndo walivyo
Nani uyo?Msisahau kisura wa mbeya hajatokea dar
Sawa kaka basi walamba midomo ni wengi sana mpaka ionakekana wote wapo ivo.Umekariri au ni vile unapata bahati ya kuwaona mitandaoni hao walamba midomo basi unadhani kila mtu ni wa hivyo .
Chunguza tena haiko hivyo
Haya kakaSawa kaka basi walamba midomo ni wengi sana mpaka ionakekana wote wapo ivo.
Kabisa. Mwanaume una miaka 35 plus huwezi kaa kwa wazazi au ndugu utakuwa na tatizo la akiliKujitegemea ni kipimo cha kwanza cha uanaume.