mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Huo uchampion mtauchukulia wapi? Labda mhamie ligi ya Zanzibar. Bingwa msimu huu ni Young Africans, huku Azam Fc akishika nafasi ya pili.Simba hadi sasa ana point 24 nafasi ya 16 na naamini akifika tena robo atavuuna point 3 muhimu na zitamfanya apate jumla point 39. Nb 3x5 =15+24=39. Point 39 inshallah Mungu akijalia atashika nafasi ya 10 au 9 na itamfanya mwakani aanzie hatua ya pili kama safari hii under 1 condition. Awe NBC Premium League CHAMPION
Miaka yote mnasema hivyo hivyo. Kwani jambo lenu limeishia wapi? Kwani hamjaenda kumuuliza aliyesema mkikosa ubingwa aulizwe? Yuko wapi kwa sasa. Na kama mmeshindwa kwenda kumuuliza akawaambia mmeteleza wapi, sasa mtawezaje kujirekebisha? Mm naamini Mbeleko fc bado hajabadilika na yupo vilevile.Huo uchampion mtauchukulia wapi? Labda mhamie ligi ya Zanzibar. Bingwa msimu huu ni Young Africans, huku Azam Fc akishika nafasi ya pili.
Utopolo katika ubora wake!! Ila hoja shangilieni wanaume wa soka!! Acha kujishoboa!Huo uchampion mtauchukulia wapi? Labda mhamie ligi ya Zanzibar. Bingwa msimu huu ni Young Africans, huku Azam Fc akishika nafasi ya pili.
Wamekufunga unawahitaje wavulana,Ndg Tafakari kwa makini maneno yako usije ukajibiwa kwa maneno makali ukajutaBaada ya kuangukia pua mapema wavulana wa soka wa utopolo msione vibaya kuwashangilia na kuwapigia makofi wanaume wa soka la Tanzania kuanzia Biashara leo, Azam kesho na kisha baba lao wekundu wa msimbazi siku ya jumapili. Inabidi mfanye hivyo tu maana ushindi wao ndio mbeleko yenu ya kimataifa!! Ushindi wao unachangia pointi za kuwabeba!! Si mnajua ninyi mmechangia pointi sifuri mwaka huu kwenye kuibeba nchi yetu ili iendelee kupeleka timu 4 CAF mwakani!! Vinginevyo mtakula jeuri yenu!! Povu ruksa!!
Tumekupokonya ngao ya jamii.TafakariMiaka yote mnasema hivyo hivyo. Kwani jambo lenu limeishia wapi? Kwani hamjaenda kumuuliza aliyesema mkikosa ubingwa aulizwe? Yuko wapi kwa sasa. Na kama mmeshindwa kwenda kumuuliza akawaambia mmeteleza wapi, sasa mtawezaje kujirekebisha? Mm naamini Mbeleko fc bado hajabadilika na yupo vilevile.
Kawaletea hirizi hii ya ushindi nao kwa uzwazwa wao wanaamini hivyo. Luc alikuwa sahihi kabisa kuwalinganisha na kima.Miaka yote mnasema hivyo hivyo. Kwani jambo lenu limeishia wapi? Kwani hamjaenda kumuuliza aliyesema mkikosa ubingwa aulizwe? Yuko wapi kwa sasa. Na kama mmeshindwa kwenda kumuuliza akawaambia mmeteleza wapi, sasa mtawezaje kujirekebisha? Mm naamini Mbeleko fc bado hajabadilika na yupo vilevile.