honestly kama niko 15 na mdada teacher wa kike 'ananiangukia'....
that could be the best memory of school...lol
Big boss unauaaa! lakini na vivulana vya sikuhizi viko bize na kuchunguza huku chini eneo walikotokea, hawachagui kiwanja cha kutua! wanajipima nguvu za mwanzomwanzo za kubalehe, tena kwa mwalimu wake, hope alipata shule ya kumtosha akitoka hapo kahitimu haswaa mkewe hapati taabu kbs.