Wavuta bangi watatu

Wavuta bangi watatu

flintsky

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
654
Reaction score
746
Wavuta bangi watatu wamevunja duka la dhahabu ili waibe, [emoji536]

Mmoja kachukua dhahabu,
Wa pili kachukua pesa[emoji383][emoji385],
Wa tatu kakaa dukani,[emoji15][emoji15]

Mwenye duka kaja na polisi kufungua mlango wakamkuta jamaa kakaa mguu juu ya mguu[emoji15][emoji15]

Akaulizwa: kwa nini hukutoroka kama wenzako..??

Kajibu: Sisi tulikuwa watatu:-
Mmoja kachukua dhahabu,
Mwingine pesa na mm nimechukua duka

Hahahahahahaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahaha ndo keshachkua ivo dukaa lake.swali jengne?
 
Back
Top Bottom