Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Naona wafurahia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.Wavuta bangi watatu wamevunja duka la dhahabu ili waibe, [emoji536]
Mmoja kachukua dhahabu,
Wa pili kachukua pesa[emoji383][emoji385],
Wa tatu kakaa dukani,[emoji15][emoji15]
Mwenye duka kaja na polisi kufungua mlango wakamkuta jamaa kakaa mguu juu ya mguu[emoji15][emoji15]
Akaulizwa: kwa nini hukutoroka kama wenzako..??
Kajibu: Sisi tulikuwa watatu:-
Mmoja kachukua dhahabu,
Mwingine pesa na mm nimechukua duka
Hahahahahahaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nahisi walimtwanga mpaka basiWavuta bangi watatu wamevunja duka la dhahabu ili waibe, [emoji536]