Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Huu ndio ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetishika?😄 Sio?Tusitishane mkuu, Nina mwaka wa 15 navuta sigara, na kuna watu wanavita sigara Hadi uzeeni.. tena tumbaku nzito haswaaa
Hapana, sijatishika. Ila nakuomba usitutishe.. kifo ni kifo na Kila mtu atakufaUmetishika?😄 Sio?
Sigara sio nzuri mkuu!Hapana, sijatishika. Ila nakuomba usitutishe.. kifo ni kifo na Kila mtu atakufa
Ni kweli, lakini ndio ivyo mkuu.. Kila kitu ukizidisha sio kizuri.. siwezi kuacha fegiSigara sio nzuri mkuu!
😂😂Huna akili wewe kwaiyo unataka kufa na mapafu mazima umeambiwa mbinguni kuna riadha