Wavuta sigara na wanywa pombe saivi matumbo joto

Wavuta sigara na wanywa pombe saivi matumbo joto

=Nduka;2074788]Rasmi siku hiyo naanza kuvuta Bangi.
:majani7::majani7::majani7: napiga reggea siku nzima
 
Kama fegi jamani moshi wake unaudhi! hafu jamani si fegi inaharibu mwili.

Wewe unadhani kwa nini watu wanapenda K? Harufu mbaya ni kivutio cha wengi, kuna wakati Juma Bharo alikuwa haimbi bila kuweka vijimavi kwenye kiberiti na kunusa kila mara.
 
Bia inarange humo humo kwenye 1500 mpaka 7000! sidhani kama wakipandisha wanywaji wataacha. Pia serikali itapata wapi mapesa ya ufisadi bila hii kitu!!!:becky:
 
nipo namsikiliza waziri hapa,akipandisha bei nitaruka juu vibaya,...
condom zishuke bei,@50/=
 
Hhahahahahahahahaha,................
HUREEEEEEEEEEEE,wamepandisha sigara mpaka sasa kudadeki
 
Bajeti hii tena sijui wataongeza bei?
mh,natamani bia moja iwe 5000/= na sigara iwe 3000/= :majani7:

Tungoje
nasikiliza hapa, naona kama vile inakuja manAKE NIMESIKIA INAPANDA KWA SHILINGI KADHAAA... MMMMHHHH
WANAFUNZI VYUO VIKUU NA MAFUNZO UFUNDI STADY,, WAMEONGEZEWA MFUKO WAO
 
ngoja niwahi kununua stock ya Jack Daniels ...... !
 
Back
Top Bottom