Wavuta subira Afya ! CLICK HERE..

Trust ME

Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
77
Reaction score
6
Habari zenu all JF members!
Hayawi hayawi sasa yamekuwa habari za kuaminika kutoka hapa CEDA Arusha ni kuwa waliomba wote walioapply tar 25 mwezi huu.
 
Habari zenu all JF members!
Hayawi hayawi sasa yamekuwa habari za kuaminika kutoka hapa CEDA Arusha ni kuwa waliomba wote walioapply tar 25 mwezi huu.

Acha kuwapa watu presha bwana,,,,,,,,mbona utukusomi?
 
Habari zenu all JF members!
Hayawi hayawi sasa yamekuwa habari za kuaminika kutoka hapa CEDA Arusha ni kuwa waliomba wote walioapply tar 25 mwezi huu.

Usitutie presha kk weka vitu waz ni afadhar kama huna la kusema upige kimya tu mku!
 
mulubastedi!!! kuweni wa wazi nyie vibwego co mnaweka nyuzi hamna source.
 
:disapointed:Next week zimekuwa nyingi jaman kama slogan za chama tawala na serikali yake mara hali mpya, maisha bora paka sasa BRN araf zikishindwa kufanya kaz utasikia atuna maana iyo, sa ngoja tusubili iyo trh 25 olewao wazingue tunashindwa kulipa ada uku kwengine tukitegemea uko!!!!:disapointed:
 
Una maanisha kuna sehemu umechaguliwa ndugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…