Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu all JF members!
Hayawi hayawi sasa yamekuwa habari za kuaminika kutoka hapa CEDA Arusha ni kuwa waliomba wote walioapply tar 25 mwezi huu.
Habari zenu all JF members!
Hayawi hayawi sasa yamekuwa habari za kuaminika kutoka hapa CEDA Arusha ni kuwa waliomba wote walioapply tar 25 mwezi huu.
Yani tarehe 25 ndo yanatoka??
Habari zenu all JF members!
Hayawi hayawi sasa yamekuwa habari za kuaminika kutoka hapa CEDA Arusha ni kuwa waliomba wote walioapply tar 25 mwezi huu.
Usitutie presha kk weka vitu waz ni afadhar kama huna la kusema upige kimya tu mku!
mulubastedi!!! kuweni wa wazi nyie vibwego co mnaweka nyuzi hamna source.
:disapointed:Next week zimekuwa nyingi jaman kama slogan za chama tawala na serikali yake mara hali mpya, maisha bora paka sasa BRN araf zikishindwa kufanya kaz utasikia atuna maana iyo, sa ngoja tusubili iyo trh 25 olewao wazingue tunashindwa kulipa ada uku kwengine tukitegemea uko!!!!:disapointed:
Mbona hujaeleweka ???
Yah!!
TIA