Cha arusha dogo anawakilishaWAGWAN RASTA,maninja wote ambao tunatumia ile kitu asili mmea,tukutane hapa.tupeane michapo ya weed,habari za weed,utani wa weed na vitu ka hizo u know.hakuna kitu kama weed na hapa tunailegalise....ngonga ,washa vuta.roll in peace rasta.....
Mazee aina gani hiyo ni mjani wa sativa au indica?Time for mary jane.View attachment 874901
Sativa hyo mzee,hybrid between Durban poison and skunk #1Mazee aina gani hiyo ni mjani wa sativa au indica?
Mie sijaelewa kabisai remember siku nilikua nawanangu tulivuta ganja hamsin within 2hours tulikua wanne siku hiyo ghetto tulifunga milango madirisha nakumbuka nilipoteza network after two hours ndo nkaamka kuendeleza ligi was hot day the second day chuo vitu vikawa vinapwaya afu ticha alikua wa mambo ya machine bhax niliona ananikoroga tu nilikua in high end by that time anafundisha nilikua dizzy the whole day ile dose ilikua hot
samahani ni lugha ya kirastaMie sijaelewa kabisa
Sijui umeandika lugha gani?
hahah inakuaga hasira sana hiyoSiku niko zangu geto night kali... nsharoll tomb zangu kama 4 hivi huku playlist ya ub40 inaplay on speaker... sasa nataka kuchoma kitu mzee kiberiti sina... daah nilipagawa... nna stiki mkononi af sina lighter.... it was hell toka siku hiyo sikosi kiberiti ghetto...
hahaa haaa wavuta subira ""!!!!!?Hata sisi wavuta subira?
Kuna aina flani ya uyoga ukila unalandua kabisa unaona mapichapicha,wenyewe wanaita shrooms,najaribu kufuatilia kujua hapa tz inapatikana wapi.
ndio hyohyo.ukiipata nishtueKama sikosei unaitwa magic mushroom mwenyewe nautafuta
ndio hyohyo.ukiipata nishtue
ndio hyohyo.ukiipata nishtue
kwahiyo watu tunataka tule magic mushroom tuone mapichapicha hahah i love that,au ndio huo naskiaga wanauita uyoga wanyoka
hapana sijajua aisee nikijua nitakua naandika mapichapicha hapa kuwataarifu ila naamini vitu kama hivi hupatikana ndanindani huko kwenye vichaka,tatizo tungejua jina la asili unaweza kuwepo ila kuwauliza wenyeji ndio shida njiani tukipita tunakutana na uyoga kibao tu hatujui upi ni upikizungu wanauita psilocybin mushroom, magic mushroom, shrooms, au mush. mwenye kujua unapatikana wapi anijuze
hapana sijajua aisee nikijua nitakua naandika mapichapicha hapa kuwataarifu ila naamini vitu kama hivi hupatikana ndanindani huko kwenye vichaka,tatizo tungejua jina la asili unaweza kuwepo ila kuwauliza wenyeji ndio shida njiani tukipita tunakutana na uyoga kibao tu hatujui upi ni upi