Wavutaji wote hapa

Wavutaji wote hapa

WAGWAN RASTA,maninja wote ambao tunatumia ile kitu asili mmea,tukutane hapa.tupeane michapo ya weed,habari za weed,utani wa weed na vitu ka hizo u know.hakuna kitu kama weed na hapa tunailegalise....ngonga ,washa vuta.roll in peace rasta.....
Cha arusha dogo anawakilisha
IMG-20180921-WA0002.jpeg
 
i remember siku nilikua nawanangu tulivuta ganja hamsin within 2hours tulikua wanne siku hiyo ghetto tulifunga milango madirisha nakumbuka nilipoteza network after two hours ndo nkaamka kuendeleza ligi was hot day the second day chuo vitu vikawa vinapwaya afu ticha alikua wa mambo ya machine bhax niliona ananikoroga tu nilikua in high end by that time anafundisha nilikua dizzy the whole day ile dose ilikua hot
Mie sijaelewa kabisa
Sijui umeandika lugha gani?
 
Siku niko zangu geto night kali... nsharoll tomb zangu kama 4 hivi huku playlist ya ub40 inaplay on speaker... sasa nataka kuchoma kitu mzee kiberiti sina... daah nilipagawa... nna stiki mkononi af sina lighter.... it was hell toka siku hiyo sikosi kiberiti ghetto...
 
hahah inakuaga hasira sana hiyo
 
oi nimewaka nakula maplaylist sio ya kawaida,moto unawaka kama ni babylon
 
kwahiyo watu tunataka tule magic mushroom tuone mapichapicha hahah i love that,au ndio huo naskiaga wanauita uyoga wanyoka
 
kizungu wanauita psilocybin mushroom, magic mushroom, shrooms, au mush. mwenye kujua unapatikana wapi anijuze
hapana sijajua aisee nikijua nitakua naandika mapichapicha hapa kuwataarifu ila naamini vitu kama hivi hupatikana ndanindani huko kwenye vichaka,tatizo tungejua jina la asili unaweza kuwepo ila kuwauliza wenyeji ndio shida njiani tukipita tunakutana na uyoga kibao tu hatujui upi ni upi
 
ni kweli ni ngumu kuupata ila nchi za nje utakua unapatikana sana
 
Back
Top Bottom