titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,571
- 9,789
Mwanangu sana huyo anakuwaga na kitu cha sauzi,skanka.Oi oi oi ,kitu cha capachino ,sinza Vatican ,washaa
Huyu simjui,quality yake ikoje mkuuKitu kwa pusha,baba chanja ,kino hananasif
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanangu sana huyo anakuwaga na kitu cha sauzi,skanka.Oi oi oi ,kitu cha capachino ,sinza Vatican ,washaa
Huyu simjui,quality yake ikoje mkuuKitu kwa pusha,baba chanja ,kino hananasif
Aisee usintamanishee,ntakutafuta unipe ramani.Mkuu navuta kitu cha Angola, ni balaa ,maramamae
Capa kiboko ,master huyuMwanangu sana huyo anakuwaga na kitu cha sauzi,skanka.Huyu simjui,quality yake ikoje mkuu
HahahaAisee usintamanishee,ntakutafuta unipe ramani.
mzee inaonekana unakul mema ya nchiTanzania wengi tunavuta shabu,substandard ganja a.k.areggie.bangi miti kibao,vumbi humohumo,mimbegu humohumo,bangi yenyewe imechumwa kabla haijakomaa vizuri wala kukaushwa kitaalamu,nyengine zimelowekwa gongo na mafuta ya taa,ndo maana wengine wanawehuka.bangi unauziwa jelo tena mjini unategemea itakuwa na ubora wa maana?.
Ganja nzuri/high grade huwa haina mbegu nyingi na iliyo bora zaidi inakuwa haina mbegu kabisa(bubu/unpolinated female plant),inakuwa inanukia harufu fulani hivi amazing,inakuwa na nta ya kutosha inanata nata,ukivuta humalizi joint/blunt nzima kwa mkupuo,na lazima ukohoe kidogo.
Kiasi mkuu,sio sana.mzee inaonekana unakul mema ya nchi
Naye anauza ya sauzi?.Capa kiboko ,master huyu
Baba chanja,naye yuko vzr mno hao ndio watu Wangu
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio ya kutapika hiyo usinifanyie hivyo bwana
Bei km kwa cappa, hata ufungaji unafananaAisee.bei kama kwa capa?
Ama vipi guda buda kazi kazi chuganianHuu Uzi utajaa machalii ya Araa
Acheni kuvuta bangi vijana .WAGWAN RASTA,maninja wote ambao tunatumia ile kitu asili mmea,tukutane hapa.tupeane michapo ya weed,habari za weed,utani wa weed na vitu ka hizo u know.hakuna kitu kama weed na hapa tunailegalise....ngonga ,washa vuta.roll in peace rasta.....
Acha bangi kijana.live sema jf huwez kuedit post mkuu,mzee yani siku ya kwanz kula hii kitu ilikua pindi nipo form3,kuna masela wangu walikua wanachepuka breaktime wanaenda kupata kitu,siku kushtuka nami nikasema naenda nanyie leo,nikaomba nitest......balaaa niliporudi class kuna manzi nilikua namzia asa nina maibu kinoma,basi kuingia class tu nikamfata dadeki nikaanza kumchana palepale mbele ya wenzie hahahahah dah hii kitu inakupa confidence sio kawaida.inshort manzi mwenyewe hakuamini,watu walikua wanashangilia tu na vicheko.dadeki demu alinikubali sikuamini.kwanzia hapo nikawa na misimamo sio kitoto
[emoji260][emoji260]Huu Uzi utajaa machalii ya Araa
Wewe unavuta makushabu ndio maanaNimekulaga shada mpaka kichwa ikawa sugu hata nimoke pull mia sisikii stim yoyote.
Nimeamua kuikacha tu.
Gomba kwangu haina stimu yoyoteNani kashakula GOMBA humu bila kusizi nimpe manyota......
Huu ulikuwa mchezo kuwatest vichwa vibovu....tunanyonga Gomba alaf tunapasiana mojamoja wale wenye vichwa vibovu na newcomers lazima wasizi
Ukijua nishtue mkuuKuna aina flani ya uyoga ukila unalandua kabisa unaona mapichapicha,wenyewe wanaita shrooms,najaribu kufuatilia kujua hapa tz inapatikana wapi.
[emoji23] [emoji23]Kuna jamaa class mate tumevuta sana enzi hizo yeye alikuwa anafanya utafiti kuhusu KUTU YA KOROSHO alivutaga sana mpaka sasa ni KICHAAA na anajua kuwa yeye ni kichaa