Wavuvi wa Kanda ya Ziwa wamemtuhumu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki kwa kitendo chake cha kushindwa kufika maeneo ya wavuvi kuwasikiliza ikiwemo visiwani na badala yake anaishia ziara Mwanza anaishia mjini na kuongea wa Wafanyabiashara wakubwa wa samaki na wenye viwanda huku wavuvi wakiwa na changamoto nyingi huko visiwani.
Malalamiko haya ya wavuvi yalitolewa Mei 27, 2022 lakini jana Agosti 8, 2022 ndio Rais Samia Suluhu Hassan akatangaza rasmi kutoa onyo la mwisho kutokana na Waziri huyo kushindwa kusimamia Wizara yake.
View attachment 2319220