Wavuvi Kempu kufungwa Januari 23, 2023

Wavuvi Kempu kufungwa Januari 23, 2023

Wanafunga kabla sisi hatujaenda[emoji1]

Wachawi wengi sana

Inaonekana kijiwe kilianza kubamba.

Wahuni/competitors/wapenda sifa wakawachomea.

By the way zile mbishe za vichupi zilipaswa kuwa mambo ya ndani/mambo ya VIP sio wazi wazi kama vile

Na mbaya zaidi wakarekodi na kutupia mitandaoni.

Anyway ni changamoto tu wavuvi kempu brand ndio kama imekufa

Kalito alete kitu kipya ila kwa mbinu mpya.
Hata kwa maadili ya dini tu, huwezi piga nyimbo ya Xmas alafu unachezesha watu na vichupi wakiwa wamevalia mavazi kama ya Santas..

Ni ujinga wa machawa aliowapa kufanya PR akina Madenge wa Twitter..
 
Pana vibe moja kali sana la kipekee na dj wapi wakali sna wananikosha wanapo anza na ule wimbo

Soooooo nice af wanachanganua ahaaaa shetani amepita gafla mapenzi yataniua yaani raha tupu pale

Ujakaa vizuri unasiki nishaachana na mapenzi mimi natafuta hela mimi naitwa boss nisha achana na usera nikikupenda nakuonga sina ngora gafla shayoooooo
Hongereniiii sanaaaa!!!
 
Back
Top Bottom